Monday, December 24, 2012

Heee! Kumbe "Soseji"

Mara ya kwanza kuiona hiyo picha, nilishtuka, nikaanza kujiuliza, inamaana ameing'oa halafu akaipika au kaamua kuila tu nzima nzima! Alaa kumbe, ni kitu cha hot dog au sausage, mambo ya wazungu hayo!!!!!!

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets