Monday, December 24, 2012

Wema Uch!ii!!

Sijui hata kama "Chupi" alivaa maana hiyo nguo ilivyokaa ni balaa tupu. Picha hii ya Uchokozi imepigwa na mdaku kwa makusudi ili jamii ijionee yenyewe, kweli jamani ndo tumefikia hapa! Mwanzoni nguo zilianza kwa kuwa za wazi kiasi ambacho tukawa tunaona taswira za "chupi" au rangi ya chupi zilizovaliwa, lakini siku hizi.... ndo balaa zaidi, hata chupi hazivaliwi tena.!!!

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets