Tuesday, January 15, 2013

Demu wa Iyanya Anapobananishwa na Njemba Nyingine

Sura ya Mwanadada Yvone Nelson si Ngeni Miongoni mwetu hasa kwa Scandal na Mabalaa yake hususan kusumbuliwa na masuala ya mapenzi, sasa haijaeleweka Rasmi ndo hivyo tena na Msanii mwenzange Iyanya au walikuwa wanachangamsha damu na Majid Michael.

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets