Tuesday, January 15, 2013

Kim Kujifungua Mwezi wa Saba

Mpenzi wa Kanye West, Kim Kardashian anatarajia kujifungua mwezi wa Saba mwaka Huu. Kupitia Mahojiano na kipindi kimoja cha Televisheni nchini Marekani Kim akiwa dada yake Kourtney amesema kuwa anafurahi tarehe yake ya kujifungua kuangukia mwezi huo kwani ni sawa na mwezi ambao Kourtney alijifungua, mbali na haya ni mwezi ambao ambao Prince William na Mkewe wanatarajia kupata mtoto. "Vitu hivi huwa havipangwi, ni Bahati tu, Na kuhusu ndoa sipendi kulizungumzi kwa sasa kwani tumeweka nguvu zetu katika ujauzito tu" Ameeleza.

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets