Saturday, January 12, 2013

Lady Gaga Apiga show huku "Makalio" yakiwa wazi


--> Kama kawaida yake msanii asiye ishiwa vituko, lady Gaga katika show yake ya juzi amefanyaa kioja cha aina yake baada ya kuipasua ngua yake ya leather Usawa wa makalio huku akipiga bonge la show kwa mtindo wa Pikikpiki. Imeelezwa kuwa piki piki hiyo baada ya show inatarajiwa kupigwa mnada wa $12,000 sawa na sh milioni 19.2 za Ki Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets