Sunday, January 13, 2013

Mtoto mwenye Miguu ya Ajabu Afanyiwa Upasuaji


Kijana Meng Weixin, 14, alizaliwa na ugonjwa wa ajabu ambao humpelekea miguu yake kuvimba kama Puto, na vidole vyake kuwa kama machungwa. Kwa kuwa kijana huyo ametoke a katika familia Masikini hakuwa na uwezo wa kumudu gharama za Operation wala matibabu, Shukrani za pekee anazipeleka kwa mwalimu wake wa shule ambaye alichukua picha zake na kuziweka katika mtandao ambapo madakari kutoka hospitali moja Mjini Shanghai waliziona na kuamu akumfanyia Operation hiyo bure. Kijana Meng anatarajiwa kuwa katika hali ya kawaida kwa 70% baada ya kufanyiwa upasuaji kwa awamu tatu hasa kwa mguu wa kulia.

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets