Sunday, January 13, 2013

Kuzaa kwasababisha Britney Spears kukimbiwa na Mchumba wake

Ripoti zimesema kwamba kisa cha Britney Spears kuvunja Uchumba na Jamaa wake wa sasa Jason Trawick kimetokana na Binti huyo kudai kuzaa wakati jamaa hana mpango wa kuwa baba kwa sasa.

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets