Sunday, January 13, 2013

Kijana Alijiwasha moto kupinga ujio wa Raisi wa China

Kijana Jamphel Yeshi Mkazi wa Tibetan aliamua kujionguza moto na kukimbia barabarani katika kufikisha ujumbe miongoni mwa Raia wa India huku Delhi kupinga Ziara ya Raisi wa China Hu Jin Tao Nchini Mwao, picha hiyo imekuwa kama picha ya kushangaza miongoni mwa matukio mengi kwa mwaka 2012.

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets