Thursday, April 25, 2013

Aliyemdhalilisha Askari wa Usalama Barabarani Aswekwa Rumande

--> Siku ya juzi maeneo ya mwenge jamaa mmoja mwenye mwili mkubwa alifanya tukio la ajabu pale alipompokonya Askari wa Usalama Barabarani Ufunguo wake wa gari na kumnyonga mkono huku akijijua kufanya hivyo ni kosa kisheria na kamera za kituo cha ITV zilikuwa zikimwonesha. Taarifa zinamnukuu Kamanda wa Polisi wa Kanda ya Kinondoni akisema ya kwamba jamaa huyo amekamatwa na yupo kituo cha polisi Cha Salander Bridge akisubiri kufikishwa mahakamani.

--> Video ya Tukio zima hii hapa chini.

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets