Monday, July 8, 2013

Kijana ajibadilisha sura na Kufanana na Mbwa



Kweli mwisho wa Dunia umefika. Kijana huyu wa Ki Brazil ameamua kutoka katika ubinadamu na kuwa nusu mbwa baada ya kufanya upusuaji na kujibadilisha uso wake ili afanane na mbwa. Hivyo basi yeye ameweka rekodi ya kuwa Mbwa Mtu wa kwanza Duniani.

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets