Saturday, July 6, 2013

Wawili wafariki, baada ya ndege kutua kwa kuanguka huko San Francisco

-->


Mapaka sasa inasemekana wameshafariki watu wawili baada ya Ndege aina ya Boeing 777 ya Kampuni ya Asiana Airlines iliyokuwa inatoka Seoul, Korea Kusini Kuanguka wakati inatua majira ya jioni ya leo katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa San Francisco

Angalia video hapo chini:-

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets