Tuesday, December 24, 2013

MAMBO YA MKOROGO HAYO, SURA NYINGINE MIGUU MINGINE


Hiyo ndo hali ilivyo now days kwa dada zetu, muda mwingi wanahangaika kuchubua nyuso zao na kusahau viungo vingine hususan miguu, mikono au magoti.

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets