Friday, January 10, 2014

Balaa la Mzee Yusuph na Jahazi Jana



Shabiki aliyevaa kihasara akinengua jukwaani.
Khadija Yusuf akiimba.
Mzee Yusuf akinengua na mpiga gitaa wake.
…Akiwaimbisha mashabiki.
Mashabiki wakiserebuka kivyao.
Shabiki akijimwaya.
Kijana aliyetuhumiwa kukwapua pochi akiwa chini ya ulinzi na pochi alilokwapua.
UKUMBI wa Taifa wa Burudani wa  Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar es Salaam, jana usiku ulifurika mashabiki katika onyesho la bendi ya taarabu ya Jahazi inayoongozwa na staa Mzee Yusuf.

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets