Friday, January 10, 2014

MSHINDI WA BBA THE CHASE, DILLISH MATHEW AFUNGA NDOA, HAKUNA MSHIRIKI ALIYEHUDHURIA ZAID YA MELVIN

Mshindi wa BBA The Chase, Mrembo Dillish Mathews amefunga Pingu za Maisha siku ya jana na Mp3nz! wake wa muda mrefu, cha kushangaza katika ndoa hiyo wshiriki wenzake kutoka sehemu mbalimbali walikacha kufika, ni Melvin tu aliyehudhuria.

Angalia Picha zaidi hapa chini:-

                  







No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets