Tuesday, December 11, 2012

Mapenzi hayachagui Umbile

Hii imejidhihirisha mara baada ya bibie Amy kukubali kuolewa bwana Josh ingawa wanaonekana kutofautiana mno kimaumbile.Wawili hao wameshinda zawadi kadhaa huko mara baada ya kuridhishwa na mapenzi baina ya wapendanao hao. mh kweli mapenzi noumah!

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets