Tuesday, January 21, 2014
HATIAMAYE WAZUNGU WAJA NA "MIDOLI YA MAPENZ", KWA TSH MILIONI 13 ZA KIBONGO UNAJIPATIA WA KWAKO.
Binafsi naiita lana na mwisho wa dunia, ila kwa wale wapenzi wa mambo yetu yalee, na uwezo wanao au ni madomo zege basi kazi kwao kuchagua yupi anakupendeza aidha kwa sura au umbile kisha unapewa masharti ya matumizi unatoa kiasi hicho kama $ 8,500/= za Obama unachukua mzigo wako.
Labels:
Udaku wa Ulaya,
Ufuska
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment