Monday, January 20, 2014

Kulikoni Mke wa Mchungaji kuvaa Hivi mbele ya hadhira?!!




Kama mwandishi fulani alivyosema, hatupo hapa kwa ajili ya kuhukumu lakini je inafaa mbele ya macho ya wengi kwa mke wa Mchungaji kuvaa mavazi kama haya mbele ya umati? Basi hivi ndivyo Meagan alivyojipigilia weekend iliyopita katika party ya mwaka ya GQ huko Los Angles.

Gauni la wazi ambalo linaonesha Thamani ya mwili wake wote, sijui tunaelekea wapi?!!!!!!!11

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets