Friday, January 24, 2014

YAWEZEKANA JUSTIN BIEBER ANATUMIA POMBE KALI, ADAKWA NA POLISI NA KUKAIDI AMRI YA KUTOA MIKONO MFUKONI.


Unaambiwa Justin Bieber amekamatwa baada ya kudaiwa kuendesha gari kwa spidi huku akiwa amekunywa kilevi lakini pia upande wa pili unasema leseni yake ilikua imekwisha muda wa matumizi vilevile Polisi wanaamini alikua ametumia dawa za kulevya Alhamisi January 22 2014 asubuhi huko Miami Marekani kama inavyoonekana kwenye video hapa chini kabisa mwa post.

No comments:

Post a Comment

Blogger Widgets