Kijana Jack Wall, 22, amehukumiwa kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kumpiga na kumuua aliyekuwa Mpenz wake, Amelia Arnold baada ya kugombana nae na msichana huyo kumwambia ya kwamba waachane.
Mbali na Jack, Mtu mwingine aliyefahamika kwa jina la Joseph Potter naye ataungana nae kwa hukumu kama hiyo baada ya kupatikana na hatia ya kumsaidia mtuhumiwa katika kuutupa mwili huo porini.
![]() |
Muuaji: Jack Wall |
![]() |
Marehemu Amelia enzi za uhai wake |
No comments:
Post a Comment