-->
Mwanadada asiyeishiwa na vituko, zainab Mohamed, Shilole, ameng'aa katika mitandao mbali mbali ya kijamii na muonekano wake mpya ambao yeye binafsi ameuita ndo wa mwaka 2013, vp jmani mnauonaje?
![]() |
| Beverly Sibanda |
![]() |
| Girls la Musica |




Kijana Meng Weixin, 14, alizaliwa na ugonjwa wa ajabu ambao humpelekea miguu yake kuvimba kama Puto, na vidole vyake kuwa kama machungwa. Kwa kuwa kijana huyo ametoke a katika familia Masikini hakuwa na uwezo wa kumudu gharama za Operation wala matibabu, Shukrani za pekee anazipeleka kwa mwalimu wake wa shule ambaye alichukua picha zake na kuziweka katika mtandao ambapo madakari kutoka hospitali moja Mjini Shanghai waliziona na kuamu akumfanyia Operation hiyo bure. Kijana Meng anatarajiwa kuwa katika hali ya kawaida kwa 70% baada ya kufanyiwa upasuaji kwa awamu tatu hasa kwa mguu wa kulia.

Kama kawaida yake msanii asiye ishiwa vituko, lady Gaga katika show yake ya juzi amefanyaa kioja cha aina yake baada ya kuipasua ngua yake ya leather Usawa wa makalio huku akipiga bonge la show kwa mtindo wa Pikikpiki. Imeelezwa kuwa piki piki hiyo baada ya show inatarajiwa kupigwa mnada wa $12,000 sawa na sh milioni 19.2 za Ki Tanzania.

PATI ya kusherehekea kuzaliwa kwa Mtangazaji wa Clouds TV, Benny Kinyaiya iliyofanyika hivi karibuni ilitawaliwa na matukio kibao ikiwa ni pamoja na mastaa mbalimbali kupombeka hadi ‘kuzima’. Mpango mzima ulichukua nafasi Januari 8, mwaka huu ndani ya baa ya Benny iliyopo Kinondoni jijini Dar ambapo mastaa kibao walikuwepo.
Amie Neely (38) alikamatwa akiwa anafanya mpnzi na mwanafunzi wake huyo mwenye umri wa miaka 16. Inasemekana kuwa mwalimu huyo alikuwa akimtumia sms mara kibao na kumtege zaidi ya mara nne mpaka kijana huyo akaingia katika mtego wake na kuanza mahusiano yao. Inaelezwa kuwa walikuwa wakikutana mara kibao na kufanya mapnz nyumbani kwa mwalimu huyo pindi mumewe anapokuwa safarini.